Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,215
- 7,727
... inasemekana muhusika alifanya makusudi ikiwa ni kama kutaka kutuma ujumbe Fulani kwa serikali ya Trump! ... DUNIA SI SALAMA AISEE! HEBU VUTA PICHA MFANO HUYO MUHUSIKA ANA'CONTROL' SILAHA ZA KIATOMIKI!Hawa wazembe , ngoja vibaraka wao waje hapa .
... ndivyo inavyosemekana!Kwamba itakua ni shambulio la makusudi ama kujitoa mhanga baada ya Trump kuwatimua jeshini wote waliobadili jinsia,,?
Hela ya rahisirahisi huleta uzembe mkuu!Miaka 15 ameshindwa kujiajiri pamoja na kubadilisha jinsia
... ufumbuzi wa kudumu ni kujenga uwanja mwingine mkubwa na kupunguza matumizi ya uwanja husika!Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.
Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.
Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
Uwanja mwingine mkubwa ulishajengwa siku nyingi (tangu 1962) upo, Dulles International Airport.... ufumbuzi wa kudumu ni kujenga uwanja mwingine mkubwa na kupunguza matumizi ya uwanja husika!
... hatari sana, wakati sisi tunalia na jam za mikweche yetu hapa Dar, wenzetu wanahangaika na jam za ndege kwenye Airports!Uwanja mwingine mkubwa ulishajengwa siku nyingi upo Dulles International Airport.
Ila huu watu wanaupenda kwa sababu upo Katikati ya mji.
Ile ajali ya juzi kati nayo tatizo n nn? Hapo hapo USA...Kiufupi huu ndiyo msimu wao ajali nyingi sana .Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.
Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.
Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
Angesubiri airforce one ya trump mbona mambo yangekuwa mazuri sana... inasemekana muhusika alifanya makusudi ikiwa ni kama kutaka kutuma ujumbe Fulani kwa serikali ya Trump! ... DUNIA SI SALAMA AISEE! HEBU VUTA PICHA MFANO HUYO MUHUSIKA ANA'CONTROL' SILAHA ZA KIATOMIKI!
Pentagon na white house zipo eneo eneo Moja?Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.
Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.
Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
Karibu sana. Kwa barabara ni 3.5 miles.Pentagon na white house zipo eneo eneo Moja?