Chanzo beef la Obama na Donald Trump

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,779
Reaction score
9,702
Jibu la Obama Tonight show "This all dates back to when we were growing up together in Kenya. We had constant run ins on soccer field. He wasnt very good and resented it. When we finally moved to America i thought it will be over but its not" ooh what a quip.
 
Reactions: FJM
Trump anatangaza show yake kwa hiyo ili awe Kwenye Tv lazima atake attention.Trump endorsed Hillary 2008 and the idea ni republican sielewi.Trump and Sarah palin likes attention
 
Huyu Trump yaani simpendi ajabu, anamidolari lakini attitudes kwishney full bragging. I hate him katika show ya Apprentice.
 
Huyu Trump yaani simpendi ajabu, anamidolari lakini attitudes kwishney full bragging. I hate him katika show ya Apprentice.

Hivi hii "Apprentice" watu huangalia kabisaaa mpaka leo?
 
Obama mtoto wa mjini, naona hapa amemkumbusha Tramp kelele zake kuhusu uraia!
 
OBAMA NA TRUMP WOTE WAMEREKANI SASA UBISHI WA NINI ?
 
Lazima iwe ivyo kwani c wapinzani mmoja anatoka democratic na mwingine republican.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…