bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Hamjambo ndugu zangu wa jf kwa ujumla bila kumsahau mamndeny..
Ninaangalia habari channel10 sasa kuna habari imeandikwa "Lady Jay Dee achaguliwa kua balozi wa uzazi wa mpango". Sasa hii habari imewekwa katika habari za michezo na burudani, NAOMBA MNIJIZE
1. Ni sahihi kwa mhariri kuiweka habari hii kwenye segment ya habari za michezo na burudani?
2. Kwakutumika kwa msanii na mwanamuziki ni kigezo cha kuiweka kwenye segment hiyo?
3.ukiangalia hiyo sentensi nilionukuu, je kuna usahihi kusema "..... balozi wa uzazi wa mpango"?
Mkishanijibu wataalamu nitashukuru maana ntajua ni jinsi gani vituo vya ndani havina msisimko kama idhaa za nje mfano idhaa za kimataifa kiswahili DW na/au BBC swahili.
MAJIBU TAFADHALI