Mimi hakuna kitu kinachonitatiza kama hiyo inayojiita chanel ten,habari zao utafikiri ni mhutasari wa habari.Mafano wakisoma habari ili iwe kamili na ujue undani wa ile habari lazima ufuatilie kwenye tarifa ya habari za TV zingine.Ndiyo maana wakaipeleka saa moja maana ni mhutasari wa habari habari kamili mpaka ITV saa mbiliHabari za majukumu wana jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri lakn ndo hutailewa kabsaaaa.., aaaah mnatuboa sana!!
mmiliki wa Channel ten ni nani?
Njoo azam tv! Ule bhataaaaa
Hicho ndio kinyamuzi serikali yako ndivyo ilivyotaka, but kwa ushaur badilisha chanel
Habari za majukumu wanau jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri lakn ndo hutailewa kabsaaaa.., aaaah mnatuboa sana!!
mmiliki wa Channel ten ni nani?
Njoo azam tv! Ule bhataaaaa