Albert Alinanuswe
Senior Member
- Oct 2, 2017
- 196
- 274
AzizaHawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
ni wachapa kazi na akili mingi piaHawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
kwani channel ten ni ya wanyakyusa?Wataje na wachaga wa IPP
Mie sifahamukwani channel ten ni ya wanyakyusa?
Hakuna ukabila namfahamu Fred Mwanjala ,alipoingia pale Channel 10 ilikuwa inatangaza tu Dar miaka ya 99 kama sijakosea ,tena alipelekwa pale na dada mmoja wa mtaani kwake na alijiunga na Channel kwa ngazi ya chini sana alikuwa anamsaidia Ngonyani kwenye sehemu za mitambo,kidogokidogo baada ya kuzoea mazingira ndio akaanza kujifunza utangazaji kwa kuibia kwa kuwafuata watangazaji waliokuwepo,nadhani Ngonyani ndie kamsaidia sana Fred kufika hapo alipo na ujue wakati ule Channel ten ilikuwa chini ya wahindi na yule mtaliano,hawa wengine wamepata kazi kwa juhudi zao,viongozi wa Channel 10 ni wahindi,sasa hao wahindi watawapendelaje Wanyakyusa,mbona sehemu nyingi utakuta sehemu moja au idara moja kuna watu wa kabila moja hata sita,je napo utasema kuna ukabila.Wenye mawazo hasi hupenda kuangalia vitu hasi,poleHawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
Aiseee bado unaangalia hiyo channelHawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
wewe unaangalia channel ganina ambayo unadhani haina uchafu kwa tafsiri yako???Hivi huo uchafu wa channel ten kuna watu bado mnaangalia
Yaani channel na tbc ni bibi na bwana
Hao ni Watangazaji wanne tu,Hawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
Tutajie na wa ITV!Hawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
Hawa ni watangazaji wa kinyakyusa pale Channel Ten.
Fred Mwanjala
Emmanuel Mwakapotela
Mwambopo
Kissa Mwaipyana
Je ni Coincidence au kuna ukabila?
unajua mimi ni kabila gani?Ndio wenye sifa stahiki.
Ulipeleka vyeti ukakosa?????