channel clouds tv -Azam tv

omereo

Member
Joined
Dec 29, 2018
Posts
54
Reaction score
80
naomba kuuliza hii channel ipo au mpaka wakati wa fiesta
mbona bado tunakatwa 3000 lakini haionekani
 
Jamaa si wameshapewa kibali cha kuonesha channel za ndani bure??? au bado hawajaanza maana hata hiyo channel ni bure sasa hivi?
 
Hata ITV haipo pia hadi waweke mitambo mipya kama vipi hamia ving'amuzi vingine utapata hiyo channel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…