Chanjo ya typhod kwenye kuku wa mayai

Chanjo ya typhod kwenye kuku wa mayai

Nikolaevich

Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Wadau,
mwenye kufaham wapi inapatikana chanjo ya typhod kwa kuku wa mayai. Nimejatibu kuuliza maduka ya mifugo hawana, ahsanteni
 
Dodoma hiyo dawa ipo Gentamycin cjui kama ndio hiyo unatafuta au tofauti.Elfu13 mpaka elf15 bei ktk maduka tofautitofauti.
 
Lakini mbali na hilo la chanjo vitunguu swaumu pia hutibu huu ugonjwa, chukua robo kilo ya vitunguu swaumu changanya na maji kiasi cha Lita moja chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.
 
Mkuu i hope iko confirmed hii dawa ya asili, ahsante nitajaribu mkuu
 
Dodoma hiyo dawa ipo Gentamycin cjui kama ndio hiyo unatafuta au tofauti.Elfu13 mpaka elf15 bei ktk maduka tofautitofauti.
Sina hakika na jina mkuu, kama ni jina hilo basi yamkini hata nikiulizia hapa mjini labda nitapata, ila nimeuliza baafhi ya maduka wamesema hawana ba ni ngumu kupata
 
Back
Top Bottom