Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU
Vyangudoa wa moro ni wakuwaogopa kama ukoma!!Malima anajua habari yake
mzee ukaona aiiibu kusema kuwa ni wewe yamekukuta haya. Asante kwa tahadhari hata hivyo
Teh teh teh, Kahumba
Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva pale aliposhukia tukamkuta ila akajikausha as if nothing has happened.
Kwa mujibu wa wahudumu jamaa aliingia saa 6 chumbani akiwa amefuatana na binti mmoja na walikuwa wameiva baada ya kupiga ulabu wa uhakika. Hadi sasa yule msichana hajapatikana.
Nawashauri vijana ogopeni pombe na jiadharini na hawa akina dada poa mnapokuja Morogoro kwani watakuchukulieni sio tu asset zenu lakini pia watawaambukiza VVU
Hivi hata Moro kuna Vyangudoa

Kaumba....
Ipo uelekeo gani hii?Pia wanapatikana Bar moja hivi pale Msamvu maarufu kwa jina la ITIGI. Lakini hawa ni wale wa Buguruni type yaani wa buku buku tu fasta fasta!!
NB:Usini-qoute mimi pia nimeambiwa tu na watu!!
Ipo uelekeo gani hii?
kahumba ni noma mazeeeteh teh teh, kahumba
Kama unatokea Dar es salaam kabla haujafika geti la kutokea stand kuu ya msamvu mkono wako wa kushoto pale yanapopaki magali makubwa ya masafa marefu!!Ukifika maeneo hayo wewe ulizia tu au ukifika mida ya kuanzia saa 2 usiku wala hupati shida maana huwa kuna bakurutu inapigwa pale kila siku!!
Ha ha ha haaah!! Kumbe hapo.....!! Wana nafuu kuliko wale wa Kahumba?
Wale waliomfanyizia waziri Malima mitaa hiyo hawapo?Unafuu wa bei au unafuu wa kitu gani mkuu??
Ubaya wao hata kei hawajui kusafisha
ha
Moro ndo makao makuu ya vyangu doa, wanaweka dawa za kulevya kwenye nyonyo, shimgoni na hata sehemu nyeti. Kama wewe ni mroho wa rambaramba hata uwe mrokole utalala wiki nzima umelewa na kufagiliwa kila kitu