Changia CHADEMA; M4C


Mbona transaction haikamiliki, au ni mtandao unasumbua? Tunaomba wahusika wa cheki na Vodacom
 
WOW ... Imefanikiwa !! Asante MUNGU, nimefanikiwa kuchangia CHADEMA. Ni raha iliyoje kuwa sehemu ya mabadiliko.
 
Nashauri wengine tufuate utaratibu huu. Fungu la 10 kwa mungu wangu, fungu la 10 linalofuata kwa cdm
 
Kwa M-PESA tu

nyota 150 reli ok

1.Tuma pesa
2.Toa pesa
3.Nunua muda wa maongezi
4.Lipa bili yako
5.Akaunti yangu

ok 4 ok
1.Ingiza namba ya kampuni
2.Majina ya kampuni yaliyohifadhiwa

ok 1 ok

Weka namba ya kampuni

ok 111333 ok

Weka namba ya kumbukumbu ya malipo
ok namba yako ya simu ya m-pesa ok
Weka kiasi
ok 1000 au zaidi ok

Bonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha

ok 1 ok




Tupiganie mabadiliko sasa
 
watanzania si wajinga kuwachangia wezi, kwa madai eti kutafuta ukombozi,
 
Hive mjinga ni nani anayefikiri kuwa Watanzania hawajui mwizi wao ni nani au anayewataka Watanzania wachangie ndiyo za CHADEMA.?
 

Wasioingia kwenye Internet wanapataje taarifa hii kwa njia rahisi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…