CHADEMA_KUSINI
Member
- Jan 4, 2015
- 29
- 13
CHANGIA CHADEMA KANDA YA KUSINI ILI TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 2015
NAMNA YA KUCHANGIA
1. Piga *150*60# (AirtelMoney), *150*00# (M-Pesa) na *150*01# (TigoPesa)
2. Chagua na. 5 LIPIA BILI (AirtelMoney), na. 4 MALIPO (M-Pesa) na Tigopesa
3. Chagua na. 3 Namba ya Kampuni 213040 AirtelMoney, na. 2 Namba ya kampuni 213040 M-Pesa na na. 2 namba ya kampuni 213040 TigoPesa
4. Weka kiasi cha pesa eg. 10000
5. Namba ya kumbukumbu ni KUS
6. Weka namba ya siri
7. Tuma mchango wako.
Tunashukuru kwa mchango wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787158788/0759158787 (Mratibu wa Kanda)
CHANGIA CHADEMA KANDA YA KUSINI ILI TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 2015
NAMNA YA KUCHANGIA
1. Piga *150*60# (AirtelMoney), *150*00# (M-Pesa) na *150*01# (TigoPesa)
2. Chagua na. 5 LIPIA BILI (AirtelMoney), na. 4 MALIPO (M-Pesa) na Tigopesa
3. Chagua na. 3 Namba ya Kampuni 213040 AirtelMoney, na. 2 Namba ya kampuni 213040 M-Pesa na na. 2 namba ya kampuni 213040 TigoPesa
4. Weka kiasi cha pesa eg. 10000
5. Namba ya kumbukumbu ni KUS
6. Weka namba ya siri
7. Tuma mchango wako.
Tunashukuru kwa mchango wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787158788/0759158787 (Mratibu wa Kanda)
Acheni mambo ya ajabu matumizi ya RUZUKU ni ya hovyo hovyo halafu eti mnataka kuwachangisha walala hoi, mfano jana hapa kawe Redbrege yenu na sare za hovyo hovyo imelegeaaaa
bank account:tuwekeeni na akaunti za benki. Maana huku kusini ccm imegeuza reserve ya kura. Hatutakubali safari hii kamwe.
Utashangaa CHADEMA ikashinda zaidi kuliko hiyo CUF. Lakini si kweli kwamba CHADEMA hakipo. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4. Nanyumbu CUF imepata vijiji 9, CHADEMA imepata vijiji 6, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Diwani 1.CHAGADEMA kusini haipo!
Huku CUF Yatosha!
Ahsante WabogojoCDM na UKAWA msikatishwe tamaa na watu wa L, mumba, huo ni mkakati mzuri sana kwa wazalendo wa Taifa hili tajiri za rasirimali kutoka kwa MOLA lakini wananchi wake ni maskini wa kutupwa. Ahsante wapo wengi watakao jiltolea kuwasupport kwenye harakati hizi zenye baraka za Muumba wetu.
Kanda ya Kusini inaundwa na Mikoa ya Lindi na Mtwara na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini inaundwa na Mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya na RukwaKana kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini. Nataka uhakika, ni ipi kati ya hizo?
Ungeleta takwimu hiyo 95% ni shilingi ngapi na 5% pia ni shilingi ngapi.Makamanda amkeni....95% ya ruzuku inabaki HQ...5% inakuwa shared across the counrty...Mbowe noma
bank account:
Namba: 0150366723500. Jina: Chadema kanda ya kusini. Bank: Crdb
Mtu mwenye akili na anayetafakari vizuri hawezi kuandika uzi kama wako.Makamanda amkeni....95% ya ruzuku inabaki HQ...5% inakuwa shared across the counrty...Mbowe noma
Wenzako waliokuwa na mawazo kama yako hasa kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa siku hizi hawatoi hoja kama hizi. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4. Nanyumbu CUF imepata vijiji 9, CHADEMA imepata vijiji 6, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Diwani 1.CDM ni chama ya kaskazini ninyi wa kusini .. Mtakufa na njaa tu