Change ur life o Die

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,934
SHULE BILA ADA:

Uthitegemee ipo thiiku therikali itaanza kugawa hela ili maisha yawe RAHITHI...Never..

Tangu enzi za Nyerere Mpaka Enzi za Jakaya kuna watu wamekuwa wakilalamika MAISHA NI MAGUMU lakini katika hayohayo maisha magumu MATAJIRI WALIKUWEPO na hata sasa MATAJIRI WAPO...

Kupoteza muda kulalamika MAISHA NI MAGUMU hakutayabadilisha Yawe Marahithi...Kitakachobadili kauli hii ni WEWE KUBADILIKA...Maisha hayatabadilika kamwe kama Wewe hubadiliki...

Unaishi maisha yaleyale,Una marafiki walewale,Unaishi kwa mbinu zilezile halafu unategemea LIFE WILL CHANGE...How??

Kwa MAGAZIJUTO??

Wenzio kila thiku wanatoka kimaisha wewe unabaki unatumbua macho tu kama umefumaniwa na Mke wa Askari wa BOKOHARAM,Life will always be tough if you are not TOUGHER enough to challenge it..

Kuwa Tough mpaka Maisha yenyewe yakikuona umeamka athubuhi yajue THE TROUBLEMAKER IS AWAKE!

Kuna wakati hapa juzi nilijihisi NNA VITU VINGI THANA nafanya mpaka nilipokaa na Mzee 1 ambaye ameoa,he is over 50 years

na ameajiriwa,akanifungukia kuniambia mambo anayofanya..NIKATHEMA SHKAMOO,kumbe mimi bado thana

Ana ajira inayomkeep Busy kama wengi wetu humu..Anafuga Nyuki wa Athali...Anafuga thamaki...Analima Mahindi..Ana mashamba ya Alizeti...Analisha Chakula..Ana tenda za kwenye Meli..Anafanya Cleaning service...Niliondoka ofisini kwake kwa hathira ithiyo mfano nikathema kumbe bado nna mengi ya kufanya..

UNA REVENUE STREAMS NGAPI??

Unalala kutegemea Mshahara tu ambao una PAYE na PPF???Wenzio wana Mirija 10 ya Kuingiza hela mwisho wa mwezi na wanainvest zaidi...thawa Maisha ni Magumu,JE UMEFANYA JITIHADA GANI KUYALAINISHA???

Tangu uanze kulalamika Maisha Magumu umeongeza hata sh 50 mezani???

CHANGE UR LIFE OR DIE,

kelele hazisaidii...! Maneno mengine ya ukweli hapo yanaumiza!
 
Loh kumbe mwaka umeanza asante mkuu
 
Kithembe chako tuu nathikia raha lol
 
umethema kweli kabitha ... endelea kukaa na wazee utafanikiwa
 
Duuh, hakuna siku serikali itagawa hela, kikubwa tunachotaka ni serikali kuchochea juhudi zetu ktk kujiletea maendeleo. Leo mwaka wa 3 nafuatilia TRA kusajiri kampuni ya clearing & forwarding Lakini hawasajiri, kisa makampuni yamekuwa mengi. Hiki ndicho kinatufanya tulie maisha magumu. URASIMU UKOMESHWE.
 
Nimependa apa, unakua tough mpaka ukiamka athubuhi maisha yajue the trouble maker is awake.
 
gamaha bana eti kithembe changu umekipenda.....!!!!!! ah ah ah ah
 
miss chagga vp wee huwa unapenda kukaa na watu gan.....??
 
Be blessed, kwa thread hii umeongeza matajiri 10 wa kesho nikiwemo mm
 

Eti wanadai makampuni tayari yapo mengi, wanataka tununue yaliyokuepo dormant..,, 🙁
 
nenda shamba kalime wengi watafuata nyayo zako.......
 
Hahahaa, kithembe hicho duu.. Ila kweli, you either die o fayt, yote yapo mikononi mwako
 
Nimegundua waliojiunga JF mwezi december mwaka jana wanakuja kwa kasi ya umaarufu hauji bila skendo...
 
Sijawahi kupata hasira kwa ajili ya utajiri wa aina hiyo kutoka kwa mtu mwenye mvi

We differ.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…