hiyo shillingi 10 unayoona imezidi ni matokeo ya kulinganisha vitu viwili ambavyo kimantiki havihusiani.
kwa mfano wako huo hapo juu, geuza mpangilio wa mahitaji yako (kilichokua cha kwanza kiwe mwisho na kinyume chake). hesabu zako zitaonekana hivi:-