Changamsha ubongo , tegua mtego huu

Changamsha ubongo , tegua mtego huu

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
623
4e90a85ba4ad767a097ae4d37225ee1c.jpg
 
Sasa baki unajumlisha halafu unataka iwe sawa na 500!?
 
hiyo shillingi 10 unayoona imezidi ni matokeo ya kulinganisha vitu viwili ambavyo kimantiki havihusiani.
kwa mfano wako huo hapo juu, geuza mpangilio wa mahitaji yako (kilichokua cha kwanza kiwe mwisho na kinyume chake). hesabu zako zitaonekana hivi:-

matumizi baki​
kitumbua 60/- 440/-
pelemende 90/- 350/-
kitunguu 150/- 200/-
nyanya 200/- 0/-
jumla 500/- 990/-
 
Back
Top Bottom