Hali ya usafiri kwa barabara kuu ya Morogoro yaani kuelekea Saranga kuanzia TEMBON nyakati za jioni au wakati wa mvua,ni shida na usumbufu mkubwa sana. Usafiri mkuu kwa kipande hiki cha km nne hivi ni NOA na bajaji.
Na nauli kwa baraka za usalama barabarani kwa kushirikiana na serikali ya mtaa ni 500.
Ombi,tunae diwani,mbunge tunaomba hatua za haraka kunusuru gharama ya 1000 nyakati za jioni na usumbufu tunaopata vio gozi hawa wafanye kazi. Hii ndiyo Dar es Salaam.
Upandishaji nauli kiholela, maeneo haya Suka, kwaMsuguri imekuwa kawaida. Mwananchi anaumia. SUMATRA ni haki mtusaidie.