Mkuu mimi sikulazimishi kuamini mnachokiamini ,
ila usia wangu usijisahau jaribu kufanya utafiti na ziara za kushtukiza ,
usipende kumwambia kila unapirudi au akajua ratiba zako za safari,litakusaidia kujua mengi ,maana wapo pia wanao jiheshimu na wapo ambao hawajielewiii
ila kwanyinyi madereva Doh ni hatar ila ngoja wengine watakuja kukueleza na wao