HahahahHH nimekuja hapa, atuachie sunna zetu huyu, Kuna watu Wana amani sana kwenye maisha hayo hayo..... Sasa kama aliyeolewa hajasoma dini unategemea kutakuwa na amani.... Lile jambo linahitaji imani ya nguvu sio hawa wacheza vigodoro
Sent using
Jamii Forums mobile app