Pole, mumeo si kashakuambia achana nao? Basi anawajua hao ndugu zake tabia zao.
Kuna watu wa ajabu sana yani, unaingilia kaka yako kweny ndoa yake jaman!
Wanawake mna roho ngumu sana. Kwanza ulikuwa mchepuko rasmi, ukakimbiaza mpaka ndoani; pambana tu. Mzalie na wana, hapo bado ni asubuhi ila akiongeza mwingine usiwe shari, muungane na mwenzio sasa.
ila samahani sana tena narudia samahani kwa dhati,. naomba uniambia swagga alizokupiga jamaa mpka ukaukubali ukewenza, nataman nizitumie hapo badae ,.. chondechonde mkuu nisaidie hilo
ila samahani sana tena narudia samahani kwa dhati,. naomba uniambia swagga alizokupiga jamaa mpka ukaukubali ukewenza, nataman nizitumie hapo badae ,.. chondechonde mkuu nisaidie hilo