Changamoto za ujenzi wa Interlocking bricks

dej

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
64
Reaction score
158
Habari wana jamvi
Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks.
Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama
  • Urembo asilia
  • Kupunguza mda wa ujenzi
  • Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming
  • Thermal insulation
  • Weight advantage (hizi tofali zinapunguza risk ya nyumba kutitia)
  • Na kadharika...
Leo naomba tuachane kidogo faida zake. Ni wazi kwamba kila kitu kina faida na hasara zake.
Natamani kujua hasa changamoto za ujenzi wa interlocking bricks, na kama itawezekana kufanya assessment jinsi ya kutatua hizo changamoto.

Asanteni sana na karibuni
 
Ok
 
Niliwahi kujaribu kupiga hesabu kiukweli sikuiona tofauti kubwa sanaaa
 
Back
Top Bottom