M Mwanantogakulya Senior Member Joined Mar 18, 2025 Posts 154 Reaction score 153 Jul 20, 2025 #1 Fedha ya serikali haitoshi kugharamia kila kipengele, hasa kwa wanafunzi wa bweni. Shule nyingi hutafuta njia mbadala ya kupata fedha kwa kuhamishia mzigo kwa mzazi. Hivyo basi, elimu si bure, bali imegeuzwa jina tu huku mzigo ukiwa kwa familia.
Fedha ya serikali haitoshi kugharamia kila kipengele, hasa kwa wanafunzi wa bweni. Shule nyingi hutafuta njia mbadala ya kupata fedha kwa kuhamishia mzigo kwa mzazi. Hivyo basi, elimu si bure, bali imegeuzwa jina tu huku mzigo ukiwa kwa familia.