Changamoto za maisha ktk mapenzi

Changamoto za maisha ktk mapenzi

kitanguz

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
15
Reaction score
2
warembo ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli na anayefaa kuwa mke mwenye kujitambua imekuwa balaa!!!!
 
Utampata anaefanana na ww katika tabia

Mwema hupata mwema mwenzake
na muovu kwa muovu mwenzake

Ni Nadra sana mwema kumpata muovu
na huu ndio uhalisia

Jichunguze kwanza,kisha kubali mabadiliko
 
Utampata anaefanana na ww katika tabia

Mwema hupata mwema mwenzake
na muovu kwa muovu mwenzake

Ni Nadra sana mwema kumpata muovu
na huu ndio uhalisia

Jichunguze kwanza,kisha kubali mabadiliko
Hilo nalo neno!!!
 
Ukiwa kicheche piga ua garagaza lazima utafanya wrong choice mkuu
Tulia tu Mungu atakuonyesha wife material
 
Back
Top Bottom