Hawa wapo nafasi ya pili baada ya Tanesco kwenye orodha ya mashirika ya kipumbavuMnasitisha huduma ya wategemezi au wanachama kwa vigezo mbalimbali:
1. Mwanachama /mtegemezi aliyeondolewa kwanini hapewi kibali cha matibabu wakati anarekebisha vigezo, wakati huo mmoja kati ya hao anapougua unalazimika kutumia gharama nyingine wakati makato yake yanaendelea.
2. Kwanini hakuna mfumo wa kupunguza makato, baada ya mtegemezi/mwanachama kuondolewa kwenye mfumo wa bima?
NakaziaHawa wapo nafasi ya pili baada ya Tanesco kwenye orodha ya mashirika ya kipumbavu
Limeni mpige pesa mtibiwe kwa keshi
Bima haziwezi kufanya kazi ipasavyo wakati hata Bomba la sindano kutengeneza hatuwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakazia
Kutibiwa kwa cash ni mfumo wa kizamani. Zipo bima za kimataifa ambazo hazina changamoto kabisa.Limeni mpige pesa mtibiwe kwa keshi
Bima haziwezi kufanya kazi ipasavyo wakati hata Bomba la sindano kutengeneza hatuwezi