Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Nilichokuwa nakilenga ndio hichi,Ushauri mzuri!hii kozi ipo udom kama sikosei field ni changamoto sana kama unaweza uliza walio mwaka wa tatu unaowafahamu walikopata field unawza kuwa na idea kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tena Kwa software ya blender 2.8Nataka nitoe ngoma yangu ila video nataka iwe animation kama ile ngoma mpya ya partynextdoor ft drake-loyal
Unaweza?
we African bhn aisee!!
thanks broKampuni za graphix zipo kibao hapo dar, we nenda hata studio ya picha
Mkuu pole sana naelewa ugumu wa kupata field!Nadhan unaona hali ilivyo hio ni field tu kupata ni shida bado hujamaliza chuo na kutafuta ajira.Muhimu kujipanga mapema na kutokuwa na expectation kubwa ya kuajiriwa baada ya kumaliza chuo.Habari poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Mimi ni mwanafunzi wa undergraduate wa mwaka wa pili nachukua course ya BSc MTA (Multimedia Technology and Animation).
Nipo likizo tumepewa jukumu la kuomba field kwenye organisation mbalimbali. Nipo Dar es salaam ila ni mgeni kabisa hasa pa kuanzia kupeleka maombi ya kufanya field. Nilikuwa naomba mwenye kuelewa organisation ambazo ni rahisi kupata sehemu ya kufanya practical field hasa katika masuala ya graphics design, website na masuala ya it kiujumla.
Msaada tafadhali .Asante.