Changamoto katika utafutaji ajira

Changamoto katika utafutaji ajira

PEACE ONE

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
143
Reaction score
47
Habari wana JF?
Ni mara ya pili hivi karibuni nilitoa tangazo la kuomba kazi hapa lakini ukiangalia changamoto tunayokutana nayo watafuta ajira JF ni majibu mabaya ya baadhi ya wachangiaji ili tuendelee kuwa hutuna ajira, mfano mara mwingine ulikotoka umeiba, una uhakika? Mwingine ulikuwa unafanya kazi kwa mjomba wako, hivi kwanini ngozi nyeusi hatupendani? Kuna mtu mwingine anataka kutoa msaada anashindwa kutokana na message hasi ya baadhi ya wachangiaji. Naomba tubadilikeni ndugu, kama Mungu amepanga kitu hamna wa kuzuia.

Nawasilisha
 
ktk jamii hawakosekan wa2 kama hao lengo n kukatisha tamaa wenzao jf n sehemu ya kuelimishana na kusaidiana pia ila imekuwa tofauti bro..ila pga moyo konde ipo cku 2tatusua ucjali kaka
 
Habari wana JF? Ni mara ya pili hivi karibuni nilitoa tangazo la kuomba kazi hapa,Lakini ukiangalia changamoto tunayokutana nayo watafuta ajira jf ni majibu mabaya ya baadhi ya wachangiaji ili tuendelee kuwa hutuna ajira,mfano ,mara mwingine ulikotoka umeiba,una uhakika?,mwingine ulikuwa unafanya kazi kwa mjomba wako,hivi kwanini ngozi nyeusi hatupendani?Kuna mtu mwingine anataka kutoa msaada anashindwa kutokana na mesage hasi(-) ya baadhi ya wachangiaji.Naomba tubadilikeni ndugu,kama mungu amepanga kitu hamna wa kuzuia.Nawasilisha.
INGIA HAP>>>NAFASI ZA KAZI IFAKARA HEALTH INSTITUTE MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 05 JULAI 2015 | KANDA YA KATI BLOG
 
Back
Top Bottom