inatumia Universal toners mkuu....issue ya tonner kusema kweli sina uhakika nayo but fundi aliyeicheki hiyo machine na kuconfirm iko poa amesema tonner za aina yoyote zinatumika bila wasiwasi .....
Huyo fundi Muongo, hiyo inatumia tonner za ricoh ambayo ndio nashuatec just majina hizo tonner zinejaa mitaani.
Hiyo kitu ni nzuri kwanza matumizi ya wino ni tofauti na canon canon ina mwaga wino mwingi kama waste tonner lkn hiyo ricoh ni kama haimwagi kabisa yaani naweza sema ni kama haina waste tonner.
Pia haiharibiki ovyo alafu spea zake zote zinapatikana tofauti na canon.
Wewe unaeuza hiyo kitu tumia mafundi wa bmtl ndio wanazijua hizo mashine kuliko mafundi wowote. Au uni pm ntakuunganisha nao popote ulipo kwa ushauri ata kuiuza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.