Chanel ten yaendelea kumpa coverage Makonda

aliisaac1000

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
272
Wadau,

Kituo cha televisheni cha chanel ten leo katika taarifa ya habari ya saa mmoja imeendelea kumpa coverage Paul Makonda pamoja na katazo lililotolewa na chama cha wanahabari Tanzania, je chama kwa kukiuka agizo hilo kitamchukulia hatua gani? Na msukumo huu wa kituo hiki kukiuka makubaliano ya pamoja yanasababishwa na nini? Tujadili

Sent from my IM-A860L using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…