Kilakshari,
Natanguliza shukrani kwa msaada wako. Na hii ndio inanifanya niipende JF kupita kiasi. Hata hivyo may be ni kwa sababu ya upeo wangu mdogo kwenye mambo ya ICT lakini ninachokipata ni-click kwenye hiyo link sio mechi wala hizo ngoma za kitamaduni.
Kama ninastahili msaada zaidi, naomba tafadhali au inawezekana kuna some sort of limitations kwenye eneo nililopo.
Tafadhali msinichoke, nikutafuta kuiona hiyo mechi ndio kunanisumbua.
Cheers,
Tiba