Champion Investment matapeli Mwanza

Hawa wanausajili wa kufanya biashara nyingne sio iyo kumbuka desi nayo ilikua ivyo mwisho wa siku watu walitapeliwa kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Matapeli wanaishi vizuri kwa expense ya vilaza wa aina hii.
 
Dah me nimejikuta nimeadiwa group linaitwa Africell afu only admin anaweza post....leseni zao ziko photoshoped nikajua tu utapeli. Nimeleft nikasema ngoja ni watafute ndo nakuta uzi hii
 
Izi mambo zinawakutaga vijana wanaotaka maisha ya haraka, jamaa alikuja nilichomwambia, nilipie then faida tutagawana na mtaji wako nakurudishia na 10%.

Ukimwanbia hivyo siku akirudi mtengezee supu ya kuku wa kienyeji ๐Ÿ˜!
 
Dah me nimejikuta nimeadiwa group linaitwa Africell afu only admin anaweza post....leseni zao ziko photoshoped nikajua tu utapeli. Nimeleft nikasema ngoja ni watafute ndo nakuta uzi hii
Yaani wiki iliyopita nakuta namba yangu imeadiwa Tena na half Afro cell, Asee leseni zao ndiyo zilezile za Photoshop, yaani Kumbe Wana makundi mawili Afrocell na Champion.

Sasa najiuliza hivi mbona hawachukuliwi hatua!??
 
Unapoteza sifa za kuwa jamii forum. JPM Alishasema elimu bure rudi ata MEKWA
 


Bado wanadunda hawa watu.

Kuna dogo hapa kajikuta kwenye group lao sijui wanapata wapi namba za watu

Wangejua waliyemu add ana pesa ya bando tuu wangejihurumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ