Chambo wa W. Madini kapigwa chini!

Hapo Chambo na yule mama Mapunjo ndo wamekuwa maKM wa muda mrefu zaidi japo chambo kuna wakati alichoma mahindi kidogo
 
Maswi ni Kaimu Naibu kamishna.. anashikilia hiyo nafasi wakati naibu kamishna anatafutwa

Kama Maswi ni kaimu Naibu Kamishna, nani kamishna wa TRA aliyechukua nafasi ya Mpango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…