Chama cha Upinzani kinapokinadi chama cha Mapinduzi

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
887
965
Maajabu ya siasa za Tanzania.

Baada ya chadema kupumulia mitambo ndani ya Mkoa wa Kigoma eti wanaleta mamilioni ya fedha ambazo wangeweza hata kujenga kituo cha Afya cha Mfano au Maabara ya Kisasa,badala yake chama cha upinzani kinamwaga pesa ili kuhakikisha ACT inakosa kura.

Chadema wakafika Mbali baada ya kuona wananchi hawaelewi wakaamua kuungana na CCM ambayo majukwaani walituaminisha ni Adui namba Moja.

Hizi ndio siasa za Maji taka ambazo wazalendo tumeapa kupambana nazo,hakuna kurudi nyuma .

Ni Mwendo wa kuzinadi itikadi na Falsafa chama Mbadala vya vyama vya Kifalme na vyama vya familia.
 
Yeah fight ur enemy with all means available, kama hao ACT ndio walianza vita na CHADEMA kwa nini wao wasifanye vita.
 
Muogo mkubwa,sidhani kama CHADEMA wana muda wa kupoteza ,ACT ni chama cha mwandiga na hakitakuja kuvuka Kakonko,tusubiri 2015 ukweli utajulikana.Mnapotoka sana mnapofikiria kuwa mtapata sympathy ya CCM kwa kujifanya anti Ukawa.
 
maajabu ya siasa za tanzania.

Baada ya chadema kupumulia mitambo ndani ya mkoa wa kigoma eti wanaleta mamilioni ya fedha ambazo wangeweza hata kujenga kituo cha afya cha mfano au maabara ya kisasa,badala yake chama cha upinzani kinamwaga pesa ili kuhakikisha act inakosa kura.

Chadema wakafika mbali baada ya kuona wananchi hawaelewi wakaamua kuungana na ccm ambayo majukwaani walituaminisha ni adui namba moja.

Hizi ndio siasa za maji taka ambazo wazalendo tumeapa kupambana nazo,hakuna kurudi nyuma .

Ni mwendo wa kuzinadi itikadi na falsafa chama mbadala vya vyama vya kifalme na vyama vya familia.
kuna kitu umekificha
 
Kati ya ACT na CHADEMA ni nani aliyeanzishwa kwa minajili ya kumdhhofisha mwezake ?
 
Hadithi zingine ni ngumu hata kuzikiliza sijui kama zitaaminika
 
Dawa wa Kigoma Nyerere anatuachia, Watu wa Kigoma mKigoma nanagomea nani??? Ukikataa kuwa sehemu ya mafuriko basi utaenda na mafuriko
 
Back
Top Bottom