Chama cha mapinduzi CCM kimetangaza kufanya mkutano wake mkuu maalum Tarehe 12/03/2017 Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Naibu katibu mkuu CCM bara Bw Rodrick L Mpogolo kwenda kwa wanahabari imeeleza kuwa mkutano huu unafanyika kufwatia mageuzi makubwa yanayofanyika ndani ya chama hicho yanayopelekea kufanyika kwa marekebisho ya kanuni na katiba ya CCM.
CHANZO: Mwananchi