mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,183
- 1,083
Naota kuona CCM ikibadiri kirefu cha jina lake toka Chama cha mapinduzi kuwa chama cha mabadiriko..Zaidi inakaribia asubuhi ndoto yangu yaendelea naiona CCM ikizaliwa upya kabisa na kuwa chama chama cha matumaini kwa walikosa huduma za elimu,afya,maji,nishati,barabara,chakula,ajira,mikopo....
Nazidi kuota baada ya miaka mitano hakutakuwa na wana CCM wenye Uongo,Fitina,Husuda,Wizi,Kusingiziana,Kuchafuana,Ubnafsi,Ufisadi,Uvivu,Urafiki,Unafiki,Urasimu,Mipasho,Chuki Binafsi,Wivu,Choyo,wanunua madaraka/vyeo,wenye jeuri ya pesa,matajiri wa biashara haramu{wasiolipa kodi,wahujumu uchumi},wasababisha hasara serikarini,wapokea rushwa,watoa rushwa,watendaji wazembe}...
Mkikumbuka nyimbo zilizoimbwa na wanaccm wa miaka ya nyuma maudhui yake yalijaa uzalendo,hamasa ya maendeleo,kuthaminiana,kuijenga nchi,kushikamana,kutiana moyo,kuhamasishana,kujitambua,maono,dira,ujamaa...mfano ni
Chama Chetu cha Mapinduzi chajenga nchi....
chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi...
chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi.....
sio nyimbo za miaka ya karibuni zenye maudhui ya vijembe,mipasho,vitisho,kejeri,.....
CCM ni ile ile ooohh ni ile ile
CCm ni ile ile aaahh ni ile ile
Wataisoma wataisoma
Wataisoma wataisoma
Wataisoma Wataisoma
Leo kwa ujasiri unaweza kusimama kwenye kadamnasi ya watu ukaimba wimbo wa CCM yajenga nchi? Lakini tuendako yawezekana?...
Mungu mwenyezi isamehe sana Tanzania...Mungu ibariki Tanzania,Mungu isamehe Afrika,Mungu mwenyezi ibariki Afrika