Chama cha CUF hatarini kutoweka (total distinction)

lizon

Senior Member
Jul 29, 2015
126
89
Kusema u kweli chama hiki kimepoteza mvuto na umaarufu wake.

Chama hiki kimemezwa na CHADEMA ndani ya ukawa,
Wagombea wake hata hawasikiki na kufahamika kwa wananchi tofauti na ilivyokuwa zamani.

Hatuoni wa tu wakionesha nia ya kujiunga na chama hiki zaidi ya wengi kama sio wote kukimbilia CHADEMA.

Ili kudumisha UKAWA baadhi ya wanachama wa CUF watapaswa kukana uwanachama wao na kuchukua wuanachama wa chadema mf.nafasi ya makamu wa raisi na zingne.

kwa hali hii I Predict thr totak distinction of the Civil United Front part.(CUF)
 
ACT ndo habari ya mujini kwa sasa

Kusema ukwelI chama hiki kimepoteza mvuto na umaarufu wake.
chama hiki kimemezwa na CHADEMA ndani ya ukawa,
Wagombea wake hata hawasikiki na kufahamika kwa wananchi tofauti na ilivyokuwa zamani.
Hatuoni wa tu wakionesha nia ya kujiunga na chama
hiki zaidi ya wengi kama sio wote kukimbilia chadema.
Ili kudumisha ukawa baadhi ya wanachama wa CUF watapaswa kukana uwanachama wao na kuchukua wuanachama wa chadema mf.nafasi ya makamu wa raisi na zingne...
kwa hali hii I PREDICT THE TOTAL DISTINCTION OF THE CIVIC UNITED FRONT PARTY.(CUF)
 
Lizon, bila shaka hapo unamaanisha 'extinction'. Sikubaliani na maoni yako. Ushirikiano wa vyama (political coalition or alliance) ni kitu cha kawaida kabisa kwenye nchi za demokrasia ya vyama vingi. Hakuna ushaidi wa kiuzoefu (emperical evidence) kuwa ushirikiano kama huu huua vyama. Tayari CUF ina nguvu kubwa visiwani na kwa kupitia Ukawa itapata viti vingi zaidi vya ubunge na udiwani Tanganyika hivyo kuimarika zaidi,
 
jamaa m/kiti cdm anatuulia vyama vya upinzani kwa dakika chache
cjui katumwa na mijitu ya ccm
mi hata sielewi
naona tunapelekeshwa tu hatuna misismamo wala itikadi
naona km anatumia udikteta na kufanya maamuzi peke yake
we unadhani mtu km mnyika hata km hataki kitu cha m/kiti ataongea wakati anajua akitolewa cdm hana sehem ya
kwenda
wanaipa mijitu ya ccm platform yakuongelea tu
 
Nyie mnaongelea wapi?. Huku rufiji mbona serikali za vijiji karibia zote zinaendeshwa na cuf?. Ningeomba upite bara bara ya kilwa road kuanzia kongowe mpaka mtwara ndio utajua kama cuf ipo au haipo
 
Hamana kitu kama hicho cuf ina nguvu visiwani na chadema ina nguvu tz bara sasa kama watu wana taka kujiunga wasijiunge kisa wata palaganyika tatizo sio umaarufu wa chama lengo nikuitoa ccm madarakani Mungu ibariki Ukawa
 
Kusema u kweli chama hiki kimepoteza mvuto na umaarufu wake.

Chama hiki kimemezwa na CHADEMA ndani ya ukawa,
Wagombea wake hata hawasikiki na kufahamika kwa wananchi tofauti na ilivyokuwa zamani.

Hatuoni wa tu wakionesha nia ya kujiunga na chama hiki zaidi ya wengi kama sio wote kukimbilia CHADEMA.

Ili kudumisha UKAWA baadhi ya wanachama wa CUF watapaswa kukana uwanachama wao na kuchukua wuanachama wa chadema mf.nafasi ya makamu wa raisi na zingne.

kwa hali hii I Predict thr totak distinction of the Civil United Front part.(CUF)

Acha ramli chonganishi wewe.
 
Back
Top Bottom