VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Ingawa CCM ina nafasi kubwa ya kushinda hapa Chalinze, matendo na maneno ya Ridhiwani yaweza kupeperusha ushindi huo kwani wananchi ndiyo waamuzi kupitia sanduku la kura.
kila linapoulizwa swali na mwananchi yeyote anayehitaji ufafanuzi wowote kutoka kwake,ridhiwani amekuwa akikwepa maswali hayo kwa kusemakuwa masuala hayo yatashughulikiwa na watendaji wahusika. Kama mgombea wa ubunge,hapaswi kusema hivyo.timu ya kampeni ya ccm lazima ijipange na kumrekebisha. Anachafuka na kuanza kuepukwa.
Pia,kauli na matendo yake ya hivi karibuni yamemfanya achorwe kama 'mwenye kujiona na mwenye dharau kubwa' kwa wapigakura wake. Kule lugoba,alikataa kuhutubu kwakuwa kulikuwa na jua alipopaswa kusimama. Akasusia hadi pale alipowekewa kivuli. Na akatamka kuwa yeye ni 'mgombea special' kupata kutokea chalinze. Hii ni dharau kwa wabunge waliotangulia akiwemo mkuu wa nchi. Wananchi wa chalinze sasa hawampendi kama mwanzo
ridhiwani pia anasemwa kama mgombea ambaye hutamba hadharani na pembeni kuwa tayari ameshashinda na hakuna wa kumpoka ushindi wake kwa vyovyote vile. Wananchi wanahoji,uhakika huo anaupata wapi wakati hata kura bado hazijapigwa? Tambo zilimponza tamba!
Ingawa ccm ina nafasi kubwa ya kushinda hapa chalinze,matendo na maneno ya ridhiwani yaweza kupeperusha ushindi huo kwani wananchi ndiyo waamuzi kupitia sanduku la kura.
mzee tupatupa wa lumumba (sasa chalinze)
Mama wa rafiki yangu ni MJUMBE wa NYUMBA kumi mbagala. Juzi jumapili alituaga kwamba hataweza kuhudhuria kikao cha harusi cha mjukuu wake kwakuwa tarehe ya kikao 6/april/2014 inafungana na tarehe ya uchaguzi Chalize yeye yupo kamati ya ushindi wanaenda kufanikisha ushindi wa mtoto wa Rais. Akasisitiza mtoto wa Rais ameahinda kabla ya uchaguzi kwakuwa tayari wanakura za kutosha mfukoni kilichobaki ni kutumbukiza tu kwenye voting box. Sasa nikajiuliza kimoyomoyo kulikoni hapa, uchaguzi upo chalinze lakini umoja wakina mama dar tayari wanakura mfukoni?
Kila linapoulizwa swali na mwananchi yeyote anayehitaji ufafanuzi wowote kutoka kwake,Ridhiwani amekuwa akikwepa maswali hayo kwa kusemakuwa masuala hayo yatashughulikiwa na watendaji wahusika. Kama mgombea wa Ubunge,hapaswi kusema hivyo.Timu ya Kampeni ya CCM lazima ijipange na kumrekebisha. Anachafuka na kuanza kuepukwa.
Pia,kauli na matendo yake ya hivi karibuni yamemfanya achorwe kama 'mwenye kujiona na mwenye dharau kubwa' kwa wapigakura wake. Kule Lugoba,alikataa kuhutubu kwakuwa kulikuwa na jua alipopaswa kusimama. Akasusia hadi pale alipowekewa kivuli. Na akatamka kuwa yeye ni 'Mgombea Special' kupata kutokea Chalinze. Hii ni dharau kwa Wabunge waliotangulia akiwemo Mkuu wa Nchi. Wananchi wa Chalinze sasa hawampendi kama mwanzo
Ridhiwani pia anasemwa kama Mgombea ambaye hutamba hadharani na pembeni kuwa tayari ameshashinda na hakuna wa kumpoka ushindi wake kwa vyovyote vile. Wananchi wanahoji,uhakika huo anaupata wapi wakati hata kura bado hazijapigwa? Tambo zilimponza Tamba!
Ingawa CCM ina nafasi kubwa ya kushinda hapa Chalinze,matendo na maneno ya Ridhiwani yaweza kupeperusha ushindi huo kwani wananchi ndiyo waamuzi kupitia sanduku la kura.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Chalinze)
Namtumba acha kuleta hisia za uongo. Je kundi kubwa la Chadema lilipokwenda katika kampeni na siku ya uchaguzi Kalenga Iringa lilikuwa na kura mifukoni? Huyo mama kama ni mjumbe wa CCM anawajibu wa kushirikiana na wanaCCM wenzake kufanya kampeni kuhakikisha Ridhiwani anashinda na sio kuiba kura.
Kila linapoulizwa swali na mwananchi yeyote anayehitaji ufafanuzi wowote kutoka kwake,Ridhiwani amekuwa akikwepa maswali hayo kwa kusemakuwa masuala hayo yatashughulikiwa na watendaji wahusika. Kama mgombea wa Ubunge,hapaswi kusema hivyo.Timu ya Kampeni ya CCM lazima ijipange na kumrekebisha. Anachafuka na kuanza kuepukwa.
Pia,kauli na matendo yake ya hivi karibuni yamemfanya achorwe kama 'mwenye kujiona na mwenye dharau kubwa' kwa wapigakura wake. Kule Lugoba,alikataa kuhutubu kwakuwa kulikuwa na jua alipopaswa kusimama. Akasusia hadi pale alipowekewa kivuli. Na akatamka kuwa yeye ni 'Mgombea Special' kupata kutokea Chalinze. Hii ni dharau kwa Wabunge waliotangulia akiwemo Mkuu wa Nchi. Wananchi wa Chalinze sasa hawampendi kama mwanzo
Ridhiwani pia anasemwa kama Mgombea ambaye hutamba hadharani na pembeni kuwa tayari ameshashinda na hakuna wa kumpoka ushindi wake kwa vyovyote vile. Wananchi wanahoji,uhakika huo anaupata wapi wakati hata kura bado hazijapigwa? Tambo zilimponza Tamba!
Ingawa CCM ina nafasi kubwa ya kushinda hapa Chalinze,matendo na maneno ya Ridhiwani yaweza kupeperusha ushindi huo kwani wananchi ndiyo waamuzi kupitia sanduku la kura.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Chalinze)
Uzi kama huu ni kupoteza tu muda na nguvu;
ccm itashinda chalinze.
View attachment 147203
Hawa watu utawambia nini sasa,acha akili za kibavicha wewe.