Chakula na sex!

kula matunda ya mapenzi, angalau matunda mawili kwa siku, moja asubuhi na moja jioni. ukiweza kula zaidi ya hayo ni sawa. fanya hivyo kwa siku 7 mfululizo, siku ya 8 utaweza kuona mabadiliko
 
Kama unaweza kupata mkia wa kondoo uchanganye na asali. Utakuwa fiti kabisa. Usiogope ukianza kuendesha maana ni tiba ya kutoa uchafu.

au

cinnamon na asali
 
Ndugu kumbuka ubora wa shughuli kitandani sio wingi wa mabao bali ni namna gani waweza kumfanya mwenzi wako nae aka enjoy hilo tendo.
 
We piga kitu natural bwana, shida kila kitu mnataka kuchakachua!!! kama nguvu zako ni kupiga bao moja piga hilo hilo. Mnajifanya vijogoo ndo mana mnafia vifuani.
 
We piga kitu natural bwana, shida kila kitu mnataka kuchakachua!!! kama nguvu zako ni kupiga bao moja piga hilo hilo. Mnajifanya vijogoo ndo mana mnafia vifuani.

Utafiti unanonyesha asilimia kubwa sana ya wanaume duniani wana tatizo la premature ejaculation! Hapa si shida ya kupiga bao nyingi, ELEWA SWALI NDUGU!! Nimeuliza ni vyakula gani vinasaidia kumfanya mtu akafanya mapenzi kwa muda mrefu...kama ni mabao mbona hata 10 unaweza kwa siku!! Ni kawaida bao la kwanza huwa la muda mfupi...mengine ni ya muda mrefu!! Hapa swali ilikuwa ni namna gani unaweza kuendelea kwa muda mrefu!!! Kuchoka najua ni swala la "energy an stamina" ya kufanya hivyo...Mbona pia nimeulizia kwa wanawake (vinyegesho)...TUSIKURUPUKE NA KASHFA, WEKA MAJIBU YA MAANA KAMA UNAELEWA, kama huelewi kaa kimya!

Kama unataka kujua ni bao ngapi naweza kupiga nipe dada yako.....atakuelezea!!
 
Ndugu kumbuka ubora wa shughuli kitandani sio wingi wa mabao bali ni namna gani waweza kumfanya mwenzi wako nae aka enjoy hilo tendo.

Join Date Wed Dec 2010
Posts 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
 
Kama unaweza kupata mkia wa kondoo uchanganye na asali. Utakuwa fiti kabisa. Usiogope ukianza kuendesha maana ni tiba ya kutoa uchafu.

au

cinnamon na asali

Nimekusoma mkuu
 

Mmm,kazi kweli Jf.Yaani watu hata ukakasi na aibu hawana hata kidogo.Hivi usingeweza kumuona daktari wa mambo hayo kama una tatizo privately.
 
Mmm,kazi kweli Jf.Yaani watu hata ukakasi na aibu hawana hata kidogo.Hivi usingeweza kumuona daktari wa mambo hayo kama una tatizo privately.

Wewe kama hii topic haikusaidii acah kucomment, WHAT IS NEW ABOUT SEX THAT YOU DONT KNOW? Mnajifanya mna aibu ya kuzungumzia kuhusu masuala ya ngono wakati ni kitu muhimu sana kwa wapendanao na mental healthy ya watu wengi? Kwani wengine wanaojadili au kuuliza maswali yanayohusu afaya kwa ujumla mbona huwashauri wakawaone madaktari wa magonjwa hayo? SI WAPO?? Hebu acheni unafiki wenu na kujidai mna maadili....this is open forum, SEX (na hapa nimezungumzia tatizo la kingono) ni jambo muhimu kulizungumzia, kama unaona halikuhusu kaa kimya!!
 
kunywa kitu cha ,tanzania finest spirit,KONYAGI...............DEMU WAKO ANYWE AMARULA KAMA ANAPENDAapige mixa ya value the pafect mix,utapiga gemu,nimesahau alafu wote mige kitimoto ya kuchoma.......ni tiba jaribu uje utuambie
 
Ndugu,

Hii nimeijaribu na naona inafanya kazi. Tumia sana asali. Asali ni dawa nzuri sana kwa inaongeza hamu ya kufanya mapenzi sana Changanya asali na mdalasini. Pia ni vyama ukawa uankula vyakula vya protini kama samaki, maziwa, mayai kwa wingi kwani sperms unazotoa hutengenezwa na protein.

So pamoja na kuongeza hamu ya kufany amapenzi ni vyema ukala vyakula vya kukupa nguvu na stamina pia. Lakini kilicho muhimu mazoezina kunya maji ya kutosha...!
 
This is nice Mhafidhina
Asante
 
Ukiaftilia yoooote hayo eti kisa sex stamina....una matatizo....!!kula mlo kamili...kula tizi... jiamini kuwa una mbavu za kpagwaisha watoto wa Eva.... Kwishney
 
Du kaka ushauri umeupata mwingi mi lakuongezea ni kwamba mazoezi kwa sana halaf uwe hujakutana nae kwa muda wa siku zaidi ya tano ebwana hiyo siku mwenyewe atakusifia.....

ila vpi kaka huyo ni shemeji au ni yule mwingine mtaa ya kati( joke) Tehe tehe tehe

(Aids kills)
 
Dawa ya kitaalamu kabisa ni kufanya mazoezi. Amka asubuhi fanya mazoezi, Pia siku hiyo usinywe pombe wala kuvuta sigara, halafu jioni ukutane na mwenzi wako. Uta enjoy sana! Jenga tabia ya kufanya mazoezi.
Je ukinywa machozi ya simba(Konyagi)?
 
Yote ni tisa kumi ni akili iwe tayari na u du na unayempenda. La sivyo hata msosi wako uwe pweza kila siku hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…