CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya

Jana nilikula makaroni, nilishiba kweli.
hapa kuna mjadala gani tena wakuu.....
chakula? kama hakitoshi mbona kina baba wanagawa kwa wengi? unakuta mwanaume mmoja anagawia wanawake wanne au zaidi.

Hapo sasa, wanaume wanasingizia uchovu wa kazi za ofisini au biashara kumbe wanakuwa wameshamalizia nguvu zao kwa SMALL HOUSE!
 
Asubuhi ya saa ngapi? Tunaamka "alfajiri" ya saa tisa na "asubuhi" ya saa 12 inatukuta ndani ya "Azania Front" tukiimba mapambio - see?

We baba Enock we we! Sisi kweli tuna kaa mbali kuepuka foleni tunawahi sana:whoo: Pale Azania Front tuna kwenda kutubu (wengine kuvuta muda) kabla ya kunza siku mpya... Du Nimelikubali comment lako kama umeniona ila tupo wengi.
 

Tuko pamoja kwa hili na kwa kuongezea wanawake kukeketwa (zamani) lengo haswa lilikua kuwapunguzia/kuondoa mshawasha! Sasa pata picha mchana kutwa tv zinaonyesha mambo ya malove, hakuna ukeketaji, wanaume wanatumia vyakula vya makopo, malalamiko yatakwisha?
 

hapo kwenye red ndio tatizo lilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…