Unakaanga dagaa mpaka wanakauka vizuri dagaa na vitunguu vyote vinakuwa vya brown!
Lakini ukiivisha vitunguu kwanza ukija kuweka dagaa uanze kuwakaanga vitunguu vinaungua kabla dagaa hawajakauka
Kiukweli sijaenda hivi karibuni lakini naamini ukifika ukaukizia watakwambia ni wapi uende uta uparta.
Yaani wale wauzaji wa Shimani watakuwa kuna mahala wanapatikana matharani maeneo ya karume n.k
Kiukweli sijaenda hivi karibuni lakini nzi ukifika ukaukizia watakwambia ni wapi uende uta uparta.
Yaani wale wauzaji wa Shimani watakuwa kuna mahala wanapatikana matharani maeneo ya karume n.k