Chai ya mahaba kwa mume

Huyo mume wa kumuhangaikia hivyo ni dawa ya kuweka kwenye kidonda?
 
nimeamini wanawake pia ndio chanzo hatufanikiwi kimaisha.mtu umerudi limenuna huekewi ht maji yailiki umechoka au hufanyiwi kamasaji kidogo zaidi unavutiwa mdomo.hayo hapo juu ukifanyiwa yesuu na maria we unatajirika yaani utawaza upate hela tu sio mapenzi
 
Kibo...!! Huku kwa akina mangi hatuiwezi hiyo chai, kunyweni wenyewe huko kwenu
 
Duh Mbona kama ushirikina na uchawichawi tena!
 
Mapenzi ya hivyo kazini nitaenda kweli!! au ndo kila nikitembea njiani ninaweka mikono mfukoni kwa hisia za furaha!
 
Hilo somo nimefeli totally.
Halafu huyo mwanaume wa kumpigisha magoti yupi?Hawahawa ninaowajua mimi au kuna wengine?
Muda wa kufanya hayo yote kwakweli sina.
 
Lakini siku moja moja kuburudushana namna hiyo sio mbaya
 
Ww ni me kweliii nna wasiwasi na jinsia
 
Siku moja moja kupeana vitu vizuri kwa wanandoa haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…