Lakini mkuu,mbona hapa kwetu mbagala mnachagua hata diwani na kuchaguliwa pia,yaani wao kuchagua tu hutaki!siku wakchanguliwa si utakufa wewe. Say like spika wa baraza la wawakilshi awe Johnson Mwalubadu kutoka Jimbo la Mwera.
Wazoweeni tu hao mnao.Mkuu wale ni watanzania, kwahiyo wanahaki ya kuchagua kura yoyote inayohusiana na Utanzania. Ila kura ya Raisi wa Zanzibar na Mwakilishi Zanzibar ni kwa ajili ya wazanzibari tu. umenipata vizuri hapo?
Wanahaki Zanzibar kujichagulia wenyewe kiongozi wao. Hao wabara Ni walowezi kama walowezi wengine. Kama vipi watimueni, ndiyo maana mnaserikali yenu na sisi huku hatuna serikali yetu tuna ya muungano tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazoweeni tu hao mnao.
Ni nyie tu na roho zenu..sema tu ukitaka kufanya kisasi chimba makaburi mawili huenda moja likawa lako.musije kuishia kulalamika tu kama Zanzibar wabaguzi, makatili kwa yatakayokuja tokea mbeleni
Mkuu wale ni watanzania, kwahiyo wanahaki ya kuchagua kura yoyote inayohusiana na Utanzania. Ila kura ya Raisi wa Zanzibar na Mwakilishi Zanzibar ni kwa ajili ya wazanzibari tu. umenipata vizuri hapo?
Yaani nyinyi mna haki zote mkiwa Tanzania Bara! Na hakuna anayewabagua kwa sababu ya huo Uzanzibari wenu, ila sisi hatuna haki tukiwa Zanzibar! Bora tuendelee tu kuwatawala maana hamueleweki mnataka nini.
Ni nyie tu na roho zenu..sema tu ukitaka kufanya kisasi chimba makaburi mawili huenda moja likawa lako.