Chaguzi Ndogo zinataka kutuvuruga

Chaguzi Ndogo zinataka kutuvuruga

SAMMY DANNY

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
24
Reaction score
6
Lazma tubadili namna ya Siasa zetu mapema sana zinataka kupevuka na kupata sura nyingine ambayo hatukuizoea.

[HASHTAG]#CHADEMA[/HASHTAG] kwa CCM ni kama mtoto alizaliwa, ametambaa, amesimama na sasa anataka kupevuka na kuwa mtu mzima. Namna ya kumlelea mtoto ni tofauti na namna ya kumlelea mtu mzima aliyepevuka. Hapa ndipo ninaposemaga CCM kwa sasa inahitaji watu Smart kuliko nyakati zote niliposemaga hivi sikueleweka ila siku za usoni nitaeleweka. Hatuwezi kushindana na Chadema kwa namna ile ile tuliyokuwa tunaitumia 1990's.

[HASHTAG]#Ukiniambia[/HASHTAG] nilaumu nani katika haya yanayoendelea sasa nitawalaumu wanaojiuzulu nafasi zao na kuhama chama. Hawa ndio wanaosababisha yote haya kutokea.

[HASHTAG]#Ninaposema[/HASHTAG] viongozi wetu warudi maofisini wakakamilishe ilani yetu na kuandika ilani nyingine ya 2020 Sikosei. Chama kinahitaji sasa kutafiti ni maeneo gani yanatotakiwa kufanyiwa kazi kwa nguvu kubwa kabla ya 2020 kuliko kuwanadi hawa kina Mtulia majukwaa hawana impact chanya yoyoye kwa wananchi.

[HASHTAG]#Kuna[/HASHTAG] wanaofikiri Upinzani umekufa, hauwezi kufa kama kila siku tupo kwenye siasa na kuacha kushughulika na shida za watu. Hizi chaguzi zinatuweka mbali na wananchi kuliko pale ambapo tungeenda kuzindua mradi wa maji au hospitali huko vijijini. Tushughulike na shida za watu zaidi Siasa tutazifanya 2020

[HASHTAG]#Hii[/HASHTAG] strategy ya chaguzi za Marudio zinakiimarisha chadema zaidi kuliko CCM. Tunawapa platform ya kufanyia siasa.

[HASHTAG]#Kwangu[/HASHTAG] mimi Issue si nani atashinda issue kwangu siasa zetu zinataka kuelekea wapi.

[HASHTAG]#Naona[/HASHTAG] yanayoendelea yakiwaunganisha zaidi watu, na vijana wakimlilia Mungu wao.

[HASHTAG]#Ukitaka[/HASHTAG] kuwaongoza usiruhusu matukio ya kuwaunganisha bali tafuta sababu za kuwatenganisha. Kwa sasa tunatengeneza matukio mengi ambayo yanasababisha huruma kwa Chadema na kuwafanya watu kuungana zaidi.

[HASHTAG]#Cha[/HASHTAG] mwisho ambacho hatukifahamu ni kwamba Chadema ni wazuri sana kwenye chaguzi zinazohusisha eneo Dogo. Tuwasubiri 2020 kwenye eneo kubwa. Tukiendelea kuruhusu chaguzi ndogo hizi lazma tutumie nguvu kubwa hivyo miili yetu mikubwa itaonekana kwenye kibwawa kidogo cha maji.

[HASHTAG]#Ndio[/HASHTAG] maana hata siri zetu za ndani zinatolewa waziwazi na kina Mnyeti huko Manyara kuwa hatashirikiana na viongozi wa upinzani. Haya tulitakiwa kuyazungumza vyumbani mwetu si majukwaani.

Ameandika kada wa CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Ole Mushi.
 
Kuna ukweli nusu! Ila kwa kutumia mbinu za kijeshi CCM haitakiwi kuiacha chadema ikusanye nguvu hadi 2020! Huu mchaka mchaka inabidi uendelee ili ruzuku yote iingie kwenye chaguzi ndogo. Tena walivyowajuvi wa pesa, 2020 wasibakiwe hata na hamsini ya kukodi tarumbeta za kampeni.
 
Back
Top Bottom