jonaleemanson
Member
- Sep 21, 2010
- 73
- 70
Siku tisini za Nepi bado kwisha.tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi tawala.mbaya zaidi tunashuhudia makundi makubwa mawili yanayojipambambanua "wapinga ufisadi" na wengine kuwa mafisadi.chama lazima kifikirie kwa mapana na kufanya maamuzi yatakayorudisha imani kwa watanzania na kuhakikisha viongozi watakaopewa nafasi hizo ni wale wasio wabinafsi, mafisadi na wenye uzalendo na nchi yao.
ccm hakuna mpinga ufisadi, si 6 wala mwakyembe, wota wanaropoka tu kutafuta sifa kwa wananchi. Huwezi kuchukizwa na harufu mbaya ya choo halafu ukabaki kukaa chooni na kulia chakula huko!
tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi tawala.mbaya zaidi tunashuhudia makundi makubwa mawili yanayojipambambanua "wapinga ufisadi" na wengine kuwa mafisadi.chama lazima kifikirie kwa mapana na kufanya maamuzi yatakayorudisha imani kwa watanzania na kuhakikisha viongozi watakaopewa nafasi hizo ni wale wasio wabinafsi, mafisadi na wenye uzalendo na nchi yao.
hivi kwanini Salma na ridhiwani wamepita bila kupingwa?
nasubiri uchaguzi ujao wa ccm kama watapita bila kupingwa wakati vasco dagama atakuwa anaishi bagamoyo!
na tumewashika pabaya (nyetini) nawaombea wagombane mpaka basi ili 2015 lichama hili fisadi limfie jk mikononi mwake
Sidhani kama watarudisha imani kwa wananchi wengi kwa sasa. Chama kimeshatekwa na mafisadi.