chaguo lako

aiseeeee babayangu yeruwiiii hapo namba MBILI. yani naingia bila kugonga hodi chezea pesa ww utalowa
 
hakunaga kama money, ukiwa na hela hayo mengine yanakuja yenyewe
 
mimi hayo mawili nayageuza madirisha huo wa kati tosha sana.
 
naona namba 2 ndo inafaa coz 3 inaweza kuwa bahat lakin isiwe ya money...money can create anything bwana..za kwako si za kuiba wala kuhongwa...hizo ndo tamu
 
money cant buy love-can buy only sex
you cant eat love
if u are lucky u can have money and love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…