fered mbataa
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 240
- 35
Mkuu una uhakika gani kuwa Chagulani aliipigia Chadema?, una uhakika gani kuwa CUF hawakuipigia Chadema?....... hicho ulichokisema kinaweza kuwa kinyume chakediwani wa chadema aliyevuliwa uawanachama adam chagulani aliipigia kura cdm ila cuf ndo wameshindwa kuvunja ndoa yao. Cuf waliwafuata cdm nje ya ukumbi na kuwashawishi warudi wapige kura kwani wao watawaunga cdm ili washinde lakini cuf hawakufanya hivyo ndo ushindi wa ccm ulivyokuwa. Then ccm imefanya uchaguzi wa ilemela ushindwe kufanyika ili kamati maalum nchini ya ccm iyongoze halmashauri ya ilemela.Source wenje mwenyewe redioni kwa neema fm
Mkuu una uhakika gani kuwa Chagulani aliipigia Chadema?, una uhakika gani kuwa CUF hawakuipigia Chadema?....... hicho ulichokisema kinaweza kuwa kinyume chake
Chagulani si alivuliwa uanachama wa Chadema?
Sasa inakuwaje anaingia kwenye kikao cha baraza la madiwani na kupiga kura?
Mambo ya mahakama mkuu. Kafulila na Rashid Hamad wanaendelea kutafuna pesa yetu wakati kisheria si wabunge tena.Chagulani si alivuliwa uanachama wa Chadema?
Sasa inakuwaje anaingia kwenye kikao cha baraza la madiwani na kupiga kura?
Inawezekana asiwe pandikizi. CDM tujaribu kujenga utamaduni wa kuwavumilia wenye mawazo tofauti na viongozi.kwa hiyo chagulani ni CDM au ni pandikizi anaetaka aaminike?
Wenje mwenyewe aliyekuwa ndani ya uchaguzi ndo anaelezea hayo, kura za cdm walizopata ni idadi ya madiwani wao 8, ccm ni idadi yao 8 na 3 wa cuf ndo unapata ushindi wa kura 11
Tetesi: Babu kauza safari yake ya mwanza alikwenda kuchukua cheque ya 270mil, katumika na CCM kuwafukuza madiwani.