Chagua Moja

Mimi naona kabisa nisingesurvive
Ningekufa mapema tu kwenye ile part ya Green Light na Red Light[emoji23][emoji23]
Ningekuwa kama yule mzee
Ila maskini in reality alikuwa na kesi ya kuchezea watoto wadogo sijui imeishia wapi
 
Haha ila game lile ni balaa kuna wakati nasema ingekuwa kweli na mimi ningeenda I could survive [emoji23]
Squid hutoboi pale acha kutuleta tena ukute ni ile ya wajapan bro round 3 nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…