Akachome pori?Hapo hata mwehu atachukua kiberiti
Na anaconda woteAkachome pori?
Unaweza kupikicha miti piaMoto ni lazima uwake na kiberiti mkuu
.hela huendi hata siku 3Unaweza kupikicha miti pia
Ila kama ni ku survive kwenye mapori ya Amazon hela za nini ?
Hela hazinisaidii ila kuna watu watachagua hela hapo haha
Labda ungeweka Koleo, kamba na shoka
Halafu kiberiti,kisu hapo nichague A au B
Very truehaving fun aint a crime
Kwani huwezi kula matunda? Halafu moto sio lazima uwashe na kiberiti mzee.hela huendi hata siku 3
Kuna watu wanapenda tu kuchezea hela....zinawawashaHuyo wa kukupa mill 100 ukakae porini ana kazi gani na wewe.....I mean utoke salama usitoke salama anapata faida gani anapata hasara gani?
Kwani shida ipo wapi hapo.... unataka watu wasimake fun?Akili za mbongo