Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,229
- 283,089
Ngoja tuchunguze .Hivi chagonja ndio yule aliyewapiga vijana mshiko akishirikiana na mke wake ili awaunganishie ajira za polisi?
Unamzungumzia kamishna Kamhanda ?Kuna yule mwenye tumbo kuubwa hivi mweusi sana aliesababishaga kifo cha mwandishi wa habari kiwe kama kafa paka tu na si binadamu kwa jinsi kesi ilivyoshughulikiwa siku hizi naye yuko wapi?
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Kisa cha kuchoka ni nini ?yuko mwanza busweru choka mbaya
Mkuu endelea kuchunguza ukipata taarifa zaidi nitagNgoja tuchunguze .
Walileta SIFA gani? Chagonja mwenyewe alikuwa MTU wa kusinzia sinzia tu na kusahau sahau.Ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi wanaotarajiwa kuagwa katika hafla inayotarajiwa kufanyika kwenye chuo cha Taaluma ya polisi jijini DSM , Wengine ni aliyekuwa kamishna wa polisi Zanzibar , Hamdani Omari Makame na aliyekuwa kamishna wa Tume ya kudhibiti Dawa za kulevya , Keneth Kaseke .
Msemaji wa polisi , Barnabas Mwakalukwa ametanabaisha kwamba katika utumishi wao uliotukuka wameliletea sifa jeshi la polisi , ndani na nje ya nchi .
Chanzo - Nipashe .
Kila la heri Chagonja .
Yuko DAR, ni mfugaji mzuri wa ng'ombejamani nauliza Alfred Gewe yupo wapi, alikuwa ananifurahisha utendaji wake yule mzee,
naona alisoma na alama za nyakati kabisa huyu mzee,
Huko kusinzia ndio kutukuka kwenyewe .Walileta SIFA gani? Chagonja mwenyewe alikuwa MTU wa kusinzia sinzia tu na kusahau sahau.
Kwa kifupi Paulo Chagonja alikuwa chief Instructor wangu ni MTU social sana, hafuati umbea mbea.
Kwa sasa bado ni RAS -KATAVI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha! Jamaa ni social sana, ni shemela wa KagameHuko kusinzia ndio kutukuka kwenyewe .
Ndiyo mkuu!!!simsikii sikii siku hizi.Unamzungumzia kamishna Kamhanda ?