Chafya ya upwiru!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Je, huwa unapiga chafya ya upwiru?

Hii siyo chafya inayosababishwa na mafua ama vumbi, bali inasababishwa na hisia za upwiru!

Chafya hii huja mara tu fikra za kimapenzi zinapokuja kichwani mwako ama ukimuona mtu ukamuelewa, basi utapiga chafya kama beberu.

Ukiwa kwenye eneo la mkusanyiko wa watu kama stendi, sokoni, mkutanoni ama kwenye daladala, ukimuona mtu mwenye vigezo (vitu) vyako vya mapenzi chafya hii hujitokeza. Utapiga chafya mara 3 kama beberu.

Hii ndiyo chafya ya upwiru!. Na hupigwa na jinsia zote 2.

N.B. Kama hupatwi na chafya hii, wewe afya yako ya ngono siyo nzuri.
 
Ni kweli bnafsi huwa nikitaka kumdinya mke wangu nikianza msogelea tu kuna ka chafya huwa kanakuja chwaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…