Nafkiri anamanisha uwanja wa Suye pale mbele ya Maasai Camp..tulikuwa tunauita uwanja wa tindigani, lkn pia kuna uwanja wa tindigani kimandolu ukipitia njia ya Kijenge juu kutokea kwa Shabani pia kuna tindigani mbauda ila sidhani ka anamanisha huko!