Wadau amani iwe kwenu,nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kabwa zinazofanywa na ccm kuvunja nguvu za cdm kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lkn 18.2.2017 cdm mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lkn watanzania wengi bado wana imani naye. Mungu mmbariki Mh Lema na cdm.
WAMEPAKA RANGI GANI?
Kutoka Kenya?Wadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Asante sana mkuu kwa kutujuza habari njema za ukombozi wa nchi yetuWadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Ishazikwa bado waondoe mibendera yaoCCM
ARusha haswa mjini na ARumeru
Kilimanjaro( Moshi) ndio bye bye....................... for good
Kwa Arusha wasahauSasa izi watagawa vits kama texi kama walivyogawa bodaboda
Bado unasafari ndefu sanaWAMEPAKA RANGI GANI?
Unaharaka gani mbwiga wa LUMUMBA we tuliza kalio umwagiwe[emoji196]WAMEPAKA RANGI GANI?