KALYABUNUNU
Member
- Dec 21, 2012
- 21
- 7
M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome

vipi kashai?. mia Kashai hawajafungua matawi, kashai itatengwa kata nyingine 3, wamesubiri itemgwe kwanza